WIMBO WANGU MPYA Huu hapa

Baada ya muda mrefu sana kupita tangu mmenifanya mshindi wa Epiq BSS hii ndio singo yangu ya kwanza kwa ajili yako ili kukuonyesha kuwa hukufanya makosa kunipigia kura..

Naamini wimbo huu utaupenda kwani ni radha kwa ajili ya watu wa namna zote. Sikiliza na Download kupitia hapa kiha nipe maoni yaklo..
By: AbrahamAbbyNM

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video