IJUMAA HII NI NDANI YA DODOMA PALE ClubMaisha

Ni mwanzo mzuri wa Epiq Night na Epiq Stars ambao ni mimi mwenyewe ambapo utaniona nikitambulisha wimbo wangu mpya na utaona nikipanda nao kwa mara ya kwanza. Njo tukutane na Nsami, Godfrey, Husna, Wababa, Menynah na m2 wangu Norman Severino.

Njoo Club Maisha pia ukutane na Ali Nipishe, Ben Pol, Barnaba na mwanadada Linah, Ijumaa hii ya tarehe 15/02/2013. Thnx kwa Zantel part of etisalat

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video