Latest News

Video: Walter Chilambo - Mi Ni Wako (Rasmi)

Watu wangu wa nguvu, kwa marayakwanza hii ndio Officially Video yangu inaitwa Mi ni wako... Check nayo hapa na tuendeleekufanya vitu vizuri zaidi...

VIDEO: Check na "Thanks God" (Official)



BSS 2013 Top 20 Washiriki


M2 wangu HopeSamwel ktk Muito

Nikizungumzia EBSS 2013

Kama ulikosa Kuangalia EBSS J2 iliyopita Check Makamuzi yalivyokuwa Mbeya hapa

Wale wadada walomwagiwa Tindikali Zanzibar wamefika kwao Uingereza

Walivyolakiwa
Siku chache kabla ya tukio hilo la kinyama

VDEO: Check Samaki anavyoa zaa na Kuanza kumfundisha Mtoto wake kuogelea Hapo hapo

HOPE SAMWEL UNDER Pamoja kwa Umoja Label "UWIMIDIWE JEHOVA"

Sababu zilizopelekea EBSS kurushwa TBC1

Sababu zilizopelekea EBSS kurushwa TBC1 mwaka huu ni hizi hapa;

Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha TBC1.
 Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda kidigitali, TBC1 sasa inapatikana kwenye ving'amuzi karibia vyote vikiwemo Star Times, DSTV na Zuku.

Nashukuru sana kwa maoni yenu mlioyatoa na mmesikika. Nawatakieni siku njema!

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video