Sababu zilizopelekea EBSS kurushwa TBC1

Sababu zilizopelekea EBSS kurushwa TBC1 mwaka huu ni hizi hapa;

Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha TBC1.
 Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda kidigitali, TBC1 sasa inapatikana kwenye ving'amuzi karibia vyote vikiwemo Star Times, DSTV na Zuku.

Nashukuru sana kwa maoni yenu mlioyatoa na mmesikika. Nawatakieni siku njema!

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video