NAWASHUKURU TANZANIA, HUU NI USHINDI WENU. ASANTENI SANA
![]() |
Ilipokuwa tatu bora |
![]() |
Ben Pol akinituza, nahisi nilifanya vizuri nyimbo yake. |
![]() |
Ma dear Salma tukisubiri atatajwa nani kati yetu |
![]() |
CCO wa Zantel akitaja MSHINDI. |
![]() |
AHSANTE MAMA |
![]() |
Sijaamini Mama yangu nashukuru. |
![]() |
Kweli nimekabidhiwa |
![]() |
Nashindwa hata nisemeje |
![]() |
Nawapenda pia. |
![]() |
Nawapenda pia Watanzania |
![]() |
Ahsante mlionitunza jana. |
![]() |
Kwa support ya Ditto jukwaani. |