ASANTENI NIMESHINDA TAJI EBSS, Kama Ndoto Vilee

Nakushukuru Mama yangu, Baba.
Asante kwako wewe uliyeniwezesha kufika hapa.
Natafuta neno zaidi ya Asante sioni. Nashukuru sana.
Asante, Asante tena na tena..
Imeniwia vigumu sana kuamini lakini sina cha kusema zaidi ya kukushukuru wewe kwa kuniwezesha. Kura zako ndio zilikuwa jaji Hongera..