Watu wangu wa Mbeya, Kaeni humu. Wakati wako ndio huu. KAMUAA..!?

Kama ndoto zangu zilivyotimia, na nikiwa pamoja na nyie Juma tano na Alhamisi hii Pande za VibeClub pale Maghorofani karibu na Mzumbe University.. Kama una kipaji na unataka kuwa Staaa cha kufanya ni kuja pande zile na kujiandikisha Mpango mzima ni ku'KAMUAAAAAA..
2013 KAMUAA!!

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video