Hii ndio EBSS Arusha ilivyokuwa. KUKAMUA kulikuwa ON sana pande zile.

Sijui kajibiwa nini hapa!
Swagger zipo ON
Wana wakijiandikisha
Mwanadada aki'KAMUA!
Unahisi KUKAMUA Kunaendaje tym hii
Nikilonga na wana na kuwapa MOYO
Mwana anatk kufanya nini Majaji.?
Foreni haijatuchosha kabisaaaa

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video