DODOMA:CHECK OUT EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013/14 DOM AUDITION, Ilikuwa poa Nooma!!?

Check PICHA mbalimbali tukiwa ktk Audition za EBSS 2013/14 Iliyozinduliwa Dodoma Jumamosi ya tar 29/06/2013 na kumalizika 30/06/2013..

Washiriki kibao hadi kupata watakaokuja Dar.
Najidai sana Dom kama nipo home
Nikiwapa Ushauri na hamasa washiriki Dom..

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video