BAADA YA KUYAAGA MASHINDANO, NORMAN ANASEMAA..

Baada ya kuyaaga mashindano, Norman Severino anawaambia hivi mashabiki wake katika mtandao wa Face Book.

"NITAITUMIA VIZURI ELIMU YA MUZIKI NILIYOIPATA EBSS ACADEMY NA NAWAAHIDI MASHABIKI WANGU KUTOA NYIMBO NZURI HIVI KARIBUNI. TUKO PAMOJA NAHITAJI SANA SUPPORT YENU"
 
Pia Norman ni mmoja kati ya washiriki wa EBSS waliokuwa wanapendwa sana na mashabiki lakini kura zake hazikutosha kitu kilichompelekea kuyaaga mashindanohaya.

Skiliza na Download "DORO" Hapa!

Hii ndio ngoma yangu ya kwanza "SIACHI"

Ni wako Official Video